Nawaza - Diamond Platnumz

Nawaza - Diamond Platnumz

Год
2022
Язык
`Suaíli`
Длительность
222600

Abaixo está a letra da música Nawaza , artista - Diamond Platnumz com tradução

Letra da música " Nawaza "

Texto original com tradução

Nawaza

Diamond Platnumz

Nawaa… naaawaaa…naawaaa…nawaza tu

Nawaa… naaawaaa…naawaaa…nawaza tu

Nawaza pru mpaka maka Ruge amerudi tena

Je kwa huu mziki wa sasa sijui nini angesema?!

Na nimejifunza binadamu kweli hawana jema

Yani mtoto unaemtunza ndo anakuombea ukilema

Nashangaa

Nawaza Vanny na Elizabeth clip zao zikivuja

Ndoa itaimarika eti au ndo ataifoja?!

Nawaza muchana, usiku jibu halifiki

Wanaonitukana, tuna bifu au ilimradi kiki?!

Nawaza kina Kimambi bwana wangekua wagawa ridhiki

Hivi kweli ningejulikana si wangenizima nsisike

Nlowaza leo nshawaza sana kina Kiba ugomvi kipi?!

Nikagundua ni ushamba na ujana wa kugombania mashabiki

Nawaa… naaawaaa…naawaaa…nawaza tu

Nawaa… naaawaaa…naawaaa…nawaza tu

Oooh nawaza

Huenda Steven Kanumba angelikuwepo hai

Nawaza movie zetu pia tungejidai

Nawaazaa hivi kombe la dunia hatufikagi why?!

Nawaza, tatizo ni team au uongozi haufai

Mawazo mengine mtanange bora tuache yataleta ukakasi

Je angekuepo Muzee Nyange, Uncle Shamte angepata nafasi?!

Nawaza ka ngekua na Wema Sepetu hadi leo sijui ngekua nshafulia au zaidi

maendeleo

Ooh nawaza siku nikifa sijui wasafi itakufa

Nawaza sijui maradhi ama ajali itanikuta

Nawaza oh Mama Dangote nani chozi atamfuta

Nawaza sijui nyimbo zangu watazikumbuka

Eeeh

Nlowaza leo nshawaza sana nnachoshindwa kuwa kipi

Nikagundua naepusha lawama maana najijua kwa kucheat

Nawaa… naaawaaa…naawaaa…nawaza tu

Nawaa… naaawaaa…naawaaa…nawaza tu

Mais de 2 milhões de letras

Músicas em diferentes idiomas

Traduções

Traduções de alta qualidade para todos os idiomas

Busca rápida

Encontre os textos que você precisa em segundos