Tubonge - Jose Chameleone

Tubonge - Jose Chameleone

Год
2013
Язык
`Suaíli`
Длительность
207000

Abaixo está a letra da música Tubonge , artista - Jose Chameleone com tradução

Letra da música " Tubonge "

Texto original com tradução

Tubonge

Jose Chameleone

Tubonge, Chameleone naomba

Tubonge

Mungu Baaba, We long ye'

Gospel time now… ooh Lord

Nina wewe wa kweli

Katika wote ninae ni wewe

Anae nipenda kamili

Bila kipimo unanipenda hakuna kiasi

Ningetaka nikuone nikupe

Vyote vyangu, nikupe chochote

Unachotaka chochote upate

Lakini sina namna ya ku kupata

Ungekua na faasi una ishi

Ata ingekua mbali vipi

Ningekuja nikuone wewe

Ungekua na nambari ya simu

Hata sura yo uli ificha!

Njo… Nimesubiri sana lini tutaonana

Njo… I don’t know what to do, to do

Am waiting for you

Njo… Nimesubiri sana lini tutaonana

Njo… Rafiki wa kweli, rafiki mileli kweli

Huu rafiki yangu nimempa sasa tuzo

Ana siri zangu nyingi siogopi mateso

Hao wabishi hawanitishi na mawazo

Ninae, Ninae…

Mlinzi wangu sasa mi sitaki fujo

Nikiwa nae siogopi vya devil

Paddy man ongeza bass na treble

Nimtaje kama ninaimba tangazo

Ungekua na faasi una ishi

Ata ingekua mbali vipi

Ningekuja nikuone wewe

Ungekua na nambari ya simu

Hata sura yo uli ificha!

Tubonge, Chameleone naomba

Tubonge

Mungu Baaba, We long ye'

Gospel time now… ooh Lord

Njo nikupe cho chote unataka

Hatuja kutana mi nakufuata

Njo nikukaribishe kwangu

Njo nikupikie chakula tamu

Naomba nikuonyeshe na watoto wangu

Njo nikuonyeshe baba na mama wangu

Nikuonyeshe marafiki zangu

Nami, na moyo wangu

Ungekua na faasi una ishi

Ata ingekua mbali vipi

Ningekuja nikuone wewe

Ungekua na nambari ya simu

Hata sura yo uli ificha!

Mais de 2 milhões de letras

Músicas em diferentes idiomas

Traduções

Traduções de alta qualidade para todos os idiomas

Busca rápida

Encontre os textos que você precisa em segundos