Happy Birthday - Rayvanny

Happy Birthday - Rayvanny

Год
2021
Язык
`Suaíli`
Длительность
209860

Abaixo está a letra da música Happy Birthday , artista - Rayvanny com tradução

Letra da música " Happy Birthday "

Texto original com tradução

Happy Birthday

Rayvanny

Siku nyingine ya furaha

Am so happy happy happy (happy happy happy)

Mwaka mwingine nimevuka

Am so happy happy happy (happy happy happy)

Asante mama, asante sana kwa kunizaa

Upendo wako moyoni mwangu hutochuja

Siku kama leo ulimwaga chozi la furaha

Mtoto wako damu yako nimekuja

Niko na marafiki (ahee)

Kuna zawadi (ahee)

Twacheza mziki (ahee)

Wanamwaga maji

Basi post picha yangu (ahee)

Niletee na keki yangu (ahee)

Tufurahi ndugu zangu (ahee)

Maana leo ni siku yangu

Oh my god, it’s my birthday

Oh my god, it’s my birthday, hey (happy happy)

Happy birthday to me (happy happy)

Happy birthday to me (happy happy)

Oh my god, it’s my birthday

Oh my god, it’s my birthday, hey (happy happy)

Happy birthday to me (happy happy)

Happy birthday to me (happy happy)

Kata keki (kata kata)

Tule (kata kata)

Leo siku ya furaha (kata kata)

Tule (kata kata)

Muite chap chap mutua (kata kata)

Kama anakupa chukua (kata kata)

Kata (kata kata)

Kata (kata kata)

Hee!

kwani baba mnataka nini?

(tupe pombe)

Eeeh (tupe pombe)

Nini?

(tupe pombe tulewe)

Vipi hamtaki juice?

(tupe pombe)

Maji vipi?

(tupe pombe)

Hata soda?

(tupe pombe tulewe)

Kina dada mnataka nini na nyie (tupe nyama)

Eeeh (tupe nyama)

Ugali?

(tupe nyama tushibe)

Mais de 2 milhões de letras

Músicas em diferentes idiomas

Traduções

Traduções de alta qualidade para todos os idiomas

Busca rápida

Encontre os textos que você precisa em segundos