Abaixo está a letra da música Lazizi , artista - Sauti Sol com tradução
Texto original com tradução
Sauti Sol
Lazizi wangu we
Zawadi nono kutoka mbinguni
Nakuwaza my baby (Nakuwaza my baby)
Nikikuwaza usiku silali
Nikikuona na wengine nashikwa na wivu
Naomba unipe number yako nikuvutie wire
Nikupeleke Java
Tunywe kahawa
Tukizubaa dubaa dubaa
Mukhali wanje we
Shihanwa shyanje khurula khu-nyasaye
Ndakhuyanza my baby (Ndakhuyanza my baby)
Shihanwa shyanje khurula khu-nyasaye
Bridge:
Zunguka zunguzukane
Nikitafuta kama wewe
Mi nafeel so nice
Unanipa mi amani
Mbele Baby
Sioni njia bila wewe
Wewe… eeeh Lazizi
Mazoe manana (Mazoe manana ah)
Kadonangaeuta na lola, Na
Kanisakayo sheri nanga
Soki yo tena nzanga kapongi (Mpenzi)
Músicas em diferentes idiomas
Traduções de alta qualidade para todos os idiomas
Encontre os textos que você precisa em segundos