Magufuli Tena - Nandy

Magufuli Tena - Nandy

Год
2019
Язык
`Suaíli`
Длительность
251010

Abaixo está a letra da música Magufuli Tena , artista - Nandy com tradução

Letra da música " Magufuli Tena "

Texto original com tradução

Magufuli Tena

Nandy

Mwenye huruma

Mkombozi wa watu

Ulisha ukapambania

Hakuna wa kuiba wewe

Watanzania

Ni Magufuli, Magufuli tena

Ni Magufuli

Ni Magufuli, Magufuli tena

Ni Magufuli

Kaachia wafungwa

Wenye makosa madogo gerezani

Kaanzisha miradi mikubwa

Kote nchini ni mzalendo

Ni Magufuli, Magufuli tena

Ni Magufuli

Ni Magufuli, Magufuli tena

Ni Magufuli

Raha, raha tupu na rais Magufuli

Raha tupu

Raha, raha tupu na rais Magufuli

Raha tupu

Raha, raha tupu na rais Magufuli

Raha tupu

Raha, raha tupu na rais Magufuli

Raha tupu

Kapandisha bajeti ya dawa

Kutoka bilioni thelathini na moja

Hadi bilioni mia mbili sabini

Soko ya madini sasa imeongezeka ah-ah-ah

Leo vijana elimu ya juu

Wanasoma hawana muda

Wa kuandamana tena

Mikopo inawai

Leo vijana elimu ya juu

Wanasoma hawana muda

Wa kuandamana tena

Mikopo inawai

Makao makuu Dodoma

Ni ahadi ya miaka arubaini

Leo kaitimiza

Tena kwa kasi

Ni Magufuli, Magufuli tena

Ni Magufuli

Ni Magufuli, Magufuli tena

Ni Magufuli

Raha, raha tupu na rais Magufuli

Raha tupu

Raha, raha tupu na rais Magufuli

Raha tupu

Raha, raha tupu na rais Magufuli

Raha tupu

Raha, raha tupu na rais Magufuli

Raha tupu

Raha, raha tupu kuwa na yeye tu

Raha tupu

Raha, raha tupu na rais Magufuli

Mikopo kwa mama, vijana na walemavu (Rais Magufuli)

Huduma ya maji ni bwerere pia (Rais Magufuli)

Kaongeza dhamani ya wakulima (Rais Magufuli)

Korosho, kahawa, pamba, ufuta, mihogo mmmh

Barabara za kisasa

Raha raha tumepata

Ujenzi wa reli pia

Tanzania

Majengo ya hospitali Wilaya sitini na saba

Ni Rais Magufuli

Elimu pia ni bure pia ametoa

Ni Rais Magufuli

Na mapato km kem serikalini

Ni Rais Magufuli

Kiongozi mwadilifu

Anafurahi

Ni Magufuli, Magufuli tena

Ni Magufuli

Ni Magufuli, Magufuli tna

Ni Magufuli

Raha, raha tupu na rais Magufuli

Raha tupu

Raha, raha tupu na rais Magufuli

Raha tupu

Raha, raha tupu na rais Magufuli

Raha tupu

Raha, raha tupu na rais Magufuli

Raha tupu

Mais de 2 milhões de letras

Músicas em diferentes idiomas

Traduções

Traduções de alta qualidade para todos os idiomas

Busca rápida

Encontre os textos que você precisa em segundos