Ninogeshe - Nandy

Ninogeshe - Nandy

Год
2018
Язык
`Suaíli`
Длительность
233180

Abaixo está a letra da música Ninogeshe , artista - Nandy com tradução

Letra da música " Ninogeshe "

Texto original com tradução

Ninogeshe

Nandy

Aai ni wewe ubavu wangu mwenyewe

Ukifa nizikwe na wewe, nikifa uzikwe na mie

Oh baby wee

Ninogeshe, ninogeshee baby

Baby ninogeshe

Ninogeshe, ninogeshee baby

Baby ninogeshe

Aaah kwachukwachu kushea na watu sitaaki

Ooh baby

Boda boda yangu vipi nipande mishikaki

Siwezi!

Basi ninogeshe, ninogeshee baby

Baby ninogeshe

Ninogeshe, ninogeshee baby

Baby ninogeshe

Raha, raha tupu

Kupendana na wewe, raha tu

Raha, raha tupu

Kupendana na wewe, raha tupu

Unanipaga furaha hivi

Ukiniacha utanipa jaka la roho

Nipe mimi kwingine we useme no

Shinde ibilisi kwenye kichwa chako ooohoo

Mi mwenzako mkiwa baba

Mkiwa wa wapenzi baba

Usinione nalia sana

Nalilia mapenzi

Chochote utachoniambia (sawa)

Mimi nitaridhia baba

Hata ukiwa mbali nitasubiria

Ah basi ninogeshe, ninogeshee baby

Baby ninogeshe

Ninogeshe, ninogeshee baby

Baby ninogeshe

Raha, raha tupu

Kupendana na wewe, raha tu

Raha, raha tupu

Kupendana na wewe, raha tupu

Tusiwe tysoni naivanda kisa kosa

(Kupendana na wewe)

Presha kupanda kushuka kisa nini?

(Kupendana na wewe)

Mi mwenzako nakupenda nafurahi

(Kupendana na wewe)

Nivike pete ya roho isiyotoka, mmmh!

Raha, raha tupu

Kupendana na wewe, raha tupu

Raha, raha tupu

Mais de 2 milhões de letras

Músicas em diferentes idiomas

Traduções

Traduções de alta qualidade para todos os idiomas

Busca rápida

Encontre os textos que você precisa em segundos